Kipindi hiki huku kwa wenzetu tunakiita kipindi cha Lente (Spring) yani midomo inakauka kwa upepo na kama unajaribu kuanika nguo zako nje ya nyumba basi lazima uhakikishe kwamba vibanio vya nguo unaviweka viwiliviwili kwa ajili ya upepo.Pichani nikitafakari na kuupima upepo kwa macho kama naweza kufanya mizunguko yangu mitaani kama nilivyozoea.tukutane baadae kwani hali ya hewa ya leo inaniruhusu kuranda mitaani.