Mwanadamu anapofikia hatua ya ukatili basi naweza kusema hasira zake na nguvu zake humshinda hata mnyama Simba.samahani wapenzi wasomaji hii picha inasikitisha ila imenibidi niwafikishie ujumbe kwamba watoto wana haki zao na kuwanyanyasa au kuwafanyia ukatili wa namna hii sio vizuri kabisa.Kumbuka unapokorofishana na mkeo au mumeo na ukafikia hatua ya kuwahukumu watoto kabla ya kujiua wewe hii ni kosa ambalo halikubaliki.