Naibu Waziri wa Kazi na Ajira ambaye pia ni Mbunge wa Segerea, Makongoro Mahanga (katikati) akipongezwa na wapambe wake baada ya Mahakama Kuu kumtangaza kuwa ndiye Mbunge halali wa jimbo hilo Dar es Salaam jana. (Picha na Robert Okanda).