Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Emmanuel Nchimbi akitia saini ya Mwongozo wa Kanuni za Uongozi kwa Wamiliki na Mameneja wa Vyombo vya Habari jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Nchini (MOAT) Reginald Mengi, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Mpango wa Vyombo vya Habari Africa (AMI) kulia kwa Waziri ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Utawala wa AMI, Dk Roukaya Kasenally. (Na Mpigapicha Wetu).