Rais Jakaya Kikwete akimsaidia Waziri asiye na Wizara Maalumu, Profesa Mark Mwandosya kushuka kwenye ngazi za Ikulu, Dar es Salaam, baada ya kuapishwa rasmi  kushika wadhifa huo. (Picha na Freddy Maro).