Alikuwa ni mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria,na alishawahi kuwa mchezaji bora barani afrika kwa mara 2 miaka ya nyuma.kwa ufupi huu nafikiri nitakuwa nimeeleweka ndugu yangu msomaji.
Anonymous said…
tuelezi kwa kina nini hasa chanzo cha kifo chake ,wapenzi wa bol tunataka kujuwa ,,
au mbwana muandishi utaalamu wako ni kuweka picha tu hujuwi lolote lile ?
3 Comments
au mbwana muandishi utaalamu wako ni kuweka picha tu hujuwi lolote lile ?