Kipindi hiki cha mashindano ya Olympic nchini Uingereza kwa kweli unaweza ukachanganyikiwa pale Heathrow Airport jinsi msongamano wa watu na mizigo ambayo inapangwa kusubiri ikaguliwe.
Amini usiamini kwa muda wa lisaa limoja mabegi zaidi ya 3000 yanakuwa yameshakaguliwa na kutoka mahala hapo na kama mwenzangu na mie umenunua begi lako siku ya kusafiri halafu hukulikariri vyema hapo vijana wanasema IMEKULA KWAKO.kama una plani ya kuja ulaya kipindi hiki tena kwa Uingereza tafadhali jiandae na hili.