Wafanyakazi wa mamlaka ya jiji la Kampala nchini Uganda  wakikusanya takataka kwenye Dewinton Road. Sheria na kanuni za kazi yao inasema wafanyakazi kama hawa wanatakiwa kuvaa vifaa vya kujikinga wakati wakiwajibika. Picha na S. OTAGE