Wauza mitumba wa Msimbazi wakisheherekea ushindi baada ya kutufunga magoli 5 leo uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam
Aiseee...!!! hii si ipango jamani? haiwezekani kabisa timu kama Yanga kufungwa goli zote hizii...Simba magoli haya mmepewa kutokana na mgogoro wetu klabuni.