Redds Miss Chang’ombe 2012, Catherine Masumbigana 21, akipunga mkono mara baada ya kusimikwa rasmi kuwa mshindi wa taji hilo ambapo aliwashinda warembo wengine 13 waliokuwa wakiwania taji la Chang’ombe na tiketi ya kushiriki Miss Temeke 2012.

 
Redds Miss Chang’ombe 2012, Catherine Masumbigana 21, (katikati) akipunga mkono mara baada ya kusimikwa rasmi kuwa mshindi wa taji hilo. Kulia ni mmshindi wa pili, Jesca Haule (18) na Mshindi wa tatu Zulfa Bundala. Masumbigana aliwashinda warembo wengine 13 katika shindano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Quality Center jijini Dar es Salaam Juni 10, 2012.
 Tano bora ya Miss Chang’ombe 2012 ambao wote wamepata tiketi ya kushiriki shindano la Miss Temeke 2012 wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka Kushoto ni Zulfa Bundala (21), Jesca Haule (18), Catherine Masumbigana (21), Miriam Nkisigwa (20) na Flora Kazungu.
                                    Warembo wakicheza show maalum ya ufunguzi 
 Warembo wakipita na mavazi ya ubunifu. Kutoka kulia ni Debora Nyakisinda, Like Abraham na Jesca Haule.
Warembo Flora Mayasa (kulia) Catherine Masumbigana (katikati) na Elizabeth Mushi wakiwinda point na vazi la ufukweni.
Mkali wa Bongo Fleva Nassib Abdul 'Diamond' na vijana wake walisindikiza show hiyo kwa kutoa burudani kali jukwaani.
Mgeni Rasmi Amos Makala (kushoto) akimpongeza Mshindi Miss Chang'ombe, Catherine Masumbigana kwa kutwaa taji hilo. Kulia ni Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe.