Aisee usije ukalogwa ukaenda kwenye vichaka na kusema unataka kuchimba dawa...Akikushikaaa utajuta kuzaliwaa,maana analalamika na uchafuzi wa mazingira.