Dj Chill ndiye Dj atakayefanya mambo usiku wa leo...njoo ule raha ya roho kwa kuburudika na waafrika wenzako kwa usiku mzima wa burudani.Kumbuka kwamba chakula na vinywaji baridi ni Buree.Anuani jinsi ya kufika ukumbini hapo ipo hapo juu na kwa wale watakaotumia usafiri wa kawaida(public transport) wakifika Leuven bus station/train sation watakutana na watu maalumu kwa kuja kuwapokea na kuwaelekeza vyema ukumbi ulipo.Tunategemea ujio wenu kwa wingi,na mwenye kuliona tangazo hili si vibaya akamfahamisha na mwenzake.