Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongoza kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mikoa (TAMISEMI) Mjini Dodoma leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)