`

Pichani juu ni Dr Steven Ulimboka akiwa katika chumba cha wagongwa mahututi ICU akiendelea kupata matibabu.Hali ya Dr Ulimboka inaendelea vizuri ingawa aliomba mapumziko zaidi.