Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika Mazungumzo na balozi wa Marekeni hapa nchini Mhe. Alfonso Lenhardt alipo mtembelea Ofisini kwake Dodoma leo
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimsikilza kwa Makini Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Prof. Jumanne Maghembe alipo mtembelea Ofisini kwake Dodoma leoNaibu
Naibu Spika wa Bunge akiwa katika amzungumzo na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Prof. Jumanne Maghembe alipo mtembelea Ofisini kwake Dodoma leo.
0 Comments