Mgeni rasmi Spika wa Bunge Makinda akifungua rasmi semina iliyoandaliwa na Chama Cha Majaji wanawake Tanzania kwa baadhi ya Majaji wanawake na Wajumbe wa kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala katika Hotel ya St. Gasper Dodoma leo.
Baadhi ya washiriki wa Semina hiyo wakimsikiliza Mgeni rasmi Mhe. Spika.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika Picha ya Pamoja na wanafunzi kutoka shule ya Marangu Hill Academy ya Moshi walipotembelea Bunge leo kwa ziara ya Mafunzo Bungeni. Mwenye fulana Nyeupe ni Naibu Waziri wa tamisemi Mhe. Aggrey Mwanri.