Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini Juni 9,2012 ambaye amehamishiwa katika hospitali ya tiba ya mifupa ya MOI katika hospitali ya Tafa ya Muhimbili akitokea hospitali ya KCMC Moshi kwa matibabu zaidi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mitambo baada ya kufunguza kiwanda cha kusindika asali cha Organic Honey katika kijiji cha Visiga mkoani Pwani kinachomilikiwa na Kampuni ya Boleyn International, Juni 9, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Comments