Tunisia imemrejesha nyumbani waziri mkuu wa zamani wa Libya,
El-Baghdadi Al-Mahmoudi.
Bwana Al-Mahmoudi alikuwa waziri mkuu kwa miaka mitano katika serikali ya
Muammur Gaddafi, kabla ya kukimbilia Tunisia mwezi wa Agosti, wapiganaji wa
Libya walipouteka mji mkuu, Tripoli.
0 Comments