Wema Sepetu akipozi kwa picha mara baada ya kukaa kabla ya kuanza kuchezwa kwa Demo ya filamu hiyo usiku wa jana kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro.

Wanamzuiki, watangazaji pamoja na waigizaji mbalimbali wa filamu walihudhuria katika uzinduzi huo kutoka kulia ni Charles Baba wa Mashujaa Band, Hatman, Mtangazaji Benny Kinyaiya, Mchekeshaji Steve Nyerere, Muigizaj Ramond Kigosi na Richie Mtambalike "Rich Rich" wakishoo Love.
Kundi la THT likifanya vitu vyake katika uzinduzi huo
Kulia ni Asma Makau na Dina Marios wakiwa na marafiki zao katika uzinduzi huo.
0 Comments