Ticket controller akikagua tiketi ya msanii Isha Mashauzi alipokuwa akielekea kupanda ndege kurudi nyumbani baada ya ziara yake ya ulaya kwa takribani mwezi mmoja tokea aje ulaya.
Dakika chache kabla ya kuondoka Bidada Isha Mashauzi alikuwa na mwenyeji wake ambaye ni Promota aliyemleta Holland King James.Hapo wakipata picha ya kuagana airport.
0 Comments