HABARI TULIZOZIPATA HIVI PUNDE NI KWAMBA KUNA JAHAZI LIMEZAMA KWENYE KISIWA CHA NUNGWI LILIKUWA LIKITOKEA TANGA KWENDA KISIWANI PEMBA.
TUTAWAJULISHA KWA UHAKIKA ZAIDI HAPO BAADAE TUKIKAMILISHA RIPOTI KAMILI.
Utawala.
0 Comments