Mwenyekiti wa TAIFA wa Chama Cha Wananchi –CUF Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza kwa niaba ya chama hicho ambapo pamoja na mengine amesema nchi yetu ina mapungufu makubwa sana katika kitengo cha uokoaji, kwa kuwa kitengo hicho hakina zana na vyombo vya kisasa vinavyokwenda na wakati.