Leo ndio leo kwa hawa mafahari wawili wanaotambiana kila kukicha.kushoto ni Kaseba na Kulia ni Cheka wakiwa wanatambiana kwa kuonyeshana sura za kutishana hapo jana baada ya kupima uzito.Mpambano wao utachezwa leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ili kumaliza ubishi kwamba nani mbabe kwa mwenzake.