Mambo yalianza hiviii
                    Hapa ndani ya mji wa Barcelona mashabiki walikuwa hiviii
               Kati ya magoli manne yaliyofungwa jana goli la tatu lilifungwa hiiii
                                Ndani ya mji wa Madrid mambo yalikuwa hiviii
Na yule kinara wa mchezo kati ya Germany na Italy Mario Balotelli jana  alidhibitiwa hiviii 
               Kwa kuwa walistahili kuwa mabingwa basi kombe walilipokea kwa staili hiii.

MPAKA MWISHO WA MCHEZO SPAIN 4- O ITALY

Maoni yangu.
Mimi kama shabiki wa timu ya soka ya Italy jana sikuwa na la kuongeza zaidi ya kuomba mpira uishe ili tusifungwe magoli zaidi.kiukweli wachezaji wa Spain walituzidi kiuchezaji na walikuwa na kila sababu ya kutushinda hapo jana,kwa kuwa mfa maji siku zote haishi kutapatapa ila mimi kama mimi sina kisingizio chochote na zaidi nawapongeza sana wachezaji wa Spain,mashabiki wote wa Spain duniani,kocha wao na raia wote wa Spain kwa ushindi huo kwa kweli wanastahili.
                                                           Maganga One.