Nani kuwa mbabe? kwa upande wangu na hisia zangu nazielekeza kwa timu ya taifa ya Italy.Naomba Italu ilinyakuwe kombe hili.Japo mpira unadunda na lolote linawezekana basi tusubiri dakika zikiisha.