Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisisitiza jambo wakati akizungumza na Ujumbe wa Wataalamu wa Tasnia ya Mabunifu ya Bidhaa za Viungo kutoka Kampuni ya Light Years IP ya Marekani panoja na watendaji wa Wizara ya Biashara.Kulia ya Balozi Seif ni Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Zanzibar Mh. Nassor Ahmed Mazrui.
0 Comments