Waungwana wote wa Maganga One Blog naendelea kuwaomba radhi kwa usumbufu wote unaojitokeza hivi sasa.Naendelea na matengenezo ya Blog yenu ili kuweka mambo sawa.

Tuendelee kuwa na uvumilivu kutokana na hali hii na ni matumaini yangu kuwa matatizo yatakwisha kwa haraka zaidi.Nitashukuru kwa uvumilivu wenu na ushirikiano wenu.
                                       Maganga One.