Wachezaji wa Yanga na Mafunzo wakimpepea Juma Mmanga baada ya kuzimia katika mechi ya robo fainali ya kuwania Kombe la Kagame, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo jioni.Mchezaji huyo aligongana na mchezaji Yanga katika harakati za kuwania mpira. Katika mchezo huu Yanga ilishinda kwa penati 5-3
Msalaba mwenkundi na madakatari wa timu ya Mafunzo wakitoa msaada kwa mchezaji huyo.
Akipelekwa kwenye ambulance tayari kukimbizwa hospitali kwa matibabu. Picha na Kamanda Richard Mwaikenda