Aliyekuwa Rais wa Marekani Bill Clinton alipomtembelea aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini hapo majuzi huko nyumbani kwake Qunu, South Africa's Eastern Cape Province.

Bwana Nelson Mandela majuzi (18th July 2012) alitimiza miaka 94 ya kuzaliwa kwake.