Ukiiangalia hii picha vizuri utaona kwamba wanaomuangalia kocha ni wachezaji watatu tu tena wawili wakiwa wameweka viganja vyao kichwani huku wakiibia usikilizaji wao.wengine kila mmoja na time yake sasa sina hakika kama kilichokuwa kinazungumzwa hapo kilikuwa....... au ...........kazi kwenu wasomaji.
0 Comments