Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal wakijumuika na wananchi wa Zanzibar katika swala ya Ijumaa kwenye msikiti wa Mwembe Shauri, Unguja leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Sheik na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal wakiongea katika Ikulu ya Zanzibar leo.