RASHID MATUMLA ``Snake Man`` Bondia mkongwe nchini Tanzania ambaye mpaka leo hii nathamini mchango wake mkubwa kwa Taifa.Serikali imuangalie sana bondia huyu na wengineo na kuthamini michango waliyoiletea Taifa.