Waziri wa mambo ya nchi za nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Mh Benard Membe (kushoto) na Wazri wa mambo ya nje wa Malawi Mh Ephraim Chiume wakipata chai kabla ya kikao chao kuhusu ngogoro wa Mpaka wa Tanzania na Malawi, katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam hivi karibuni
Balozi wa tanzania nchini malawi Patrick Tsere na Balozi wa malawi hapa nchini bibi Flossie Chidyaonga wakisalimia kwa furaha walipokutana katika mkutano huo kuhusu mgogoro wa mpaka wa Tanzania na Malawi
Baadhi ya maofisa wa timu ya Tanzania katika majadiliano hayo wakiwa wanasubiri kuingia katika kikao hicho.Picha na Chris Mfinanga
0 Comments