Katika mpira Kuna ushabiki na Upenzi sasa mimi ni Shabiki wa timu ya taifa ya  Italy leo tukifakiwa kushinda nitafurahi sana  na ikitokewa  tukashindwa, sitashindwa kula au kulala vizuri kama baadhi ya  wapenzi wa soka duniani ambao timu zao zikishindwa mtu kula au kulala inakuwa vigumu,kwa upande wangu yani nitalala na kula kama kawaida.Ila ushabiki wangu kwa timu ya taifa ya Italy ni kwa saana tu.

Nawaombea sana wafanikiwe kulinyakuwa kombe hilo.Nipo nasubiria muda tu nishuhudie nani mbabe wa euro 2012 leo hii.Kila la heri vijana wa Italy ushinde muhumu.Maganga One.