Anapokutana na watoto huchuchuma na kuwapa Hello kila mmoja na watoto hujisikia na wao wapo kati ya waliopo.
Akija kwenye suala la kubunyanga huwa hafichi anachokibunyanga na hukibunyanga kiukwelikweli
                              Akiwa ofisini miguu huwa juu kama unavyomuona
Kila binadamu huwa na hisia zake na hapo sina la kuongeza kwani mmmmhhhhh...!!!!Obama bwana..!!
                                      Anapenda sana mpira wa kikapu
       Kwa kuonyesha kwamba huyu mtu ni kipaji basi sio kuongea tu kila mahala yupo