Afisa Habari wa Kampuni ya Airtel Tanzania Jane Matinde (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza kikosi cha timu ya soka cha Airtel Rising Stars kitakachoshiriki michuano ya Inter-continental yatakayofanyika Nairobi, Kenya mwezi huu. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Jackson Mmbando. 
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya simu ya Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza kikosi cha soka cha Airtel Rising Stars kitakachoshiriki michuano ya Inter-continental yatakayofanyika Nairobi, Kenya baadaye mwezi huu. Kulia ni Afisa Habari wa Airtel Tanzania, Jane Matinde.

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Tanzania Jackson Mmbando (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza kikosi cha timu ya Airtel Rising Stars kinachokwenda kushiriki michuano ya Inter-continental itakayofanyika Nairobi, Kenya baadaye mwezi huu. Katikati ni Afisa Habari wa kampuni hiyo, Jane Matinde na kilia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA).