Mamia ya wanafunzi na wananchi wakipatiwa elimu ya Bunge na jinsi linavyoitafsiri falsafa ya KILIMO KWANZA kwa vitendo. Hapa ni katika viwanja vya Nane Nane vilivyoko nje kidogo ya mji wa Dodoma.(Prosper Minja- Bunge).