Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Dr John Samwel Malecela akikata utepe kuashiria uzinduzi wa nembo Maalum ya kuadhimisha miaka ishirini ya
Chuo kikuu huria cha Tanzania ambapo shughuli hiyo ilifanyika katika
kituo kipya cha Chuo kikuu huria Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es
salaam.

Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Dr John Samwel Malecela wakwanza kushoto akiwa kwenye picha ya pamoja na na baadhi ya Viongozi wa chuo hicho.