Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wazee wa kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba hivi karibuni,akiwa katika ziara maalum kisiwani humo.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akisalimiana na Wazee wa kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba hivi karibuni,akiwa katika ziara maalum kisiwani humo. 
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Watoto wa kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba hivi karibuni,akiwa katika ziara maalum Kisiwani humo. [Picha na Othman Maulid.]