Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni,Mh. Freeman Mbowe akimtambulisha kwa wanaharakati Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari wakati wa ufunguzi wa harambee ya Movement for Change - M4C iliyopo chini ya CHADEMA. Jumla ya shilingi Milioni 323 zimepatikana katika harambee hiyo ambapo katika hizo pesa taslimu ni shilingi milioni 70 na ahadi ni milioni 253. Hafla hiyo ya kuchangia ilifanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar.
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari.
Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha,Godbress Lema akihutubia
Wanaharakati mbali mbali waliojitokeza kuhudhuria hafra hiyo.Picha na Kajunason Blog.
0 Comments