Usajiri mpya kumbe na naniii kasajiriwa Man U? Aiseee......!!!!
Hivi jamanii eeehe kwani mie siwezi kuchezea Manchester United? aaaah kwani unaweza kucheza mpira wewe? ebu tuoneshe kwanza kama unaweza hata kupiga...
Kwa mtazamo wako hapo alipata penati au alikosa? Ila jamani kumbe Man U ni timu inayopendwa na wengi duniani eeehe?