Madikodiko yakiendelea kugawiwa kwa walaji
Menu haikukosa kitu yani kila kitu kilikuwepo
Mmoja wa wageni toka Holland pia alikuwepo katika hafla hii ya chakula kwa siku ya Eid ya jana
Mmoja wa wageni akipatiwa chakula huku muhudumiaji akiwa na nyuso ya furaha.
Kama unavyojionea pichani yani ni raha kweli
Pichani ni baba Karim akipata msosi
Wageni wetu waalikwa wakiendelea kupata chakula
Raha ya chakula ni utamu wa chakula
Kila mmoja alifurahia chakula kwa siku ya jana |
Haya tena sahani full nyama na salad
Kama hukutosheka ilikuwa ruksa kurudia tena na tena na tena kwani chakula kilikuwepo cha kutosha.
Mama Karim mmoja wa waandaji wa shughuli hii
Pichani ni baadhi wanachama wa umoja ulioandaa shughuli hii hapo jana wakipata picha na watoto waliosoma Quran siku hiyo ya jana.
Pichani kama kawaida kupata kumbukumbu ni moja ya kitu muhimu katika historia ya maisha.
Mama Sharon pia alikuwepo hiyo jana kwenye chakula cha pamoja cha Eid
Watoto wakikata keki kwa pamoja
Shost vipi kuku na wali vitatosha? Aaah mbona chakula kingi sanaaa na kingine kipo jikoni.... |
Watoto wazuri waliosoma Quran vizuri siku ya jana wakiwa na mwalimu wao ambaye anastahiki pongezi kwa elimu anayowapatia vijana wetu( ``Hongera mwalimu Allah atakulipa kwa hili``).
Baadhi ya wageni wetu ambao walikuwa makini kabisa kusikiliza kinachoendelea ukumbini hapo
Inapendeza kuona utulivu na sura za wageni wetu ambao tulifurahi nao pamoja siku ya jana katika Eid
Waaawww...!!! ni mama na mwana wakipata chakula cha pamoja siku ya jana katika kusheherekea Eid nchini Ubelgiji
Bidada Cherie ambaye alisoma Quran hapo jana.
Bidada Sharon ambaye alisoma Quran hapo jana.
Kaka Karim ambaye alisoma Quran hapo jana.
Bidada Moza ambaye alisoma Quran hapo jana.
Kaka Nabil ambaye pia jana alisoma Quran
0 Comments