Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012 wilaya ya Ilala na Kinondoni wakiwa na mmoja wa wadhamini wao "Secrets Lingerie" wakifurahiya michezo na mazoezi ufukwe wa Msasani beach club wakijiandaa na mechi ya mpira wa ufukweni (beach soccer) itakayofanyika jumapili hii tarehe 26/08/2012 kati ya washiriki wa Miss Utalii Ilala 2012, Miss Utalii Kinondoni 2012 na Miss Utalii Temeke 2012.

Mashindano ya Miss Utalii Ilala na Miss Utalii Kinondoni kwa mara ya kwanza, yatafanyika kwa pamoja mwaka huu tarehe 14/09/2012 katika Hoteli ya Serena zamani Movenpick hapa Dar-es-salaam.Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania