Mtu anapokula au watu wanapokula kama muungwana kuna baada ya maneno yamezoeleka kusema kumwambia mlaji au walaji.Maneno yenyewe kwa kizungu tunasema ``ENJOY YOUR MEAL`` au kwa Ki`Nederland tunasema ``Eet smakelijk``kwa kifaransa tunasema ``Bon Appepit`` je kwa lugha ya kiswahili fasaha tutatamkaje..............................?????tuma maoni yako kwenye kijisandukau cha maoni hapo chini au niandikie kwa mail box yangu ambayo ni magangaone@gmail.com,Nategemea kupata majibu mengi na ya kuridhisha.