Kaa ufikiri mara mbili mbili kama kuna wenzako wanaishi hivii...!!! sasa leo hii wewe unalalamika kila kukicha na wewe mwenye madaraka pia kumbuka kuyatumia vyema madaraka yako.