Usain Bolt ni kijana mwenye mapenzi ya dhati na timu kubwa inayopendwa na wengi duniani Manchester United.
Babu nipe namba uone hakuna wa kunizuia mbio zangu babuu...!!! Aaaah unamshinda Giggs wewee?
                                    Bolt akiwa na wachezaji wa Manchester United
Kama kawaida Usain Bolt amekuja na staili ya kipekee ambayo kila mtu siku hii anaipenda
                                Ona sasa yani kila kona ni mambo ya Bolt staili
Mimi ni Manchester United damu jamani..