Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiangalia Mpunga Uliovunwa
kwa kutumia mashine ya Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) baada ya
kuzindua mashine hizo katika shamba la Kilimo la Serikali huko Bambi
Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akiwasha Mashine ya Kuvunia
Mpunga,(Combine Harvester) ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Mashine
hizo,zilizonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi zikiwa jumla 14 katika
kuboresha hatua za Mapinduzi ya Kilimo,katika Shamba la Mbegu Bambi
,Wilaya ya Kati Mkoa waKusini Unguja leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(wa sita kushoto)akiangalia Mashine ya
Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) baada ya kufanya uzinduzi wa
Mashine hizo,zilizonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi zikiwa jumla 14
katika kuboresha hatua za Mapinduzi ya Kilimo,katika Shamba la Mbegu
Bambi ,Wilaya ya Kati Mkoa waKusini Unguja leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiangalia Mpunga Ukitoka
katika mashine ya Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) baada ya
kuzindua mashine hizo katika shamba la Kilimo la Serikali huko Bambi
Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Uongozi wa
Wzara ya Kilimo na Maliasili,baada ya kuzindua rasmi mashine za
Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) katika hafla iliyofanyika leo huko
shamba la Kilimo la Serikali, Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini
Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akibadilishana mawazo na
Waziri wa Kilimo na Maliasili Suleiman Othman Nyanga,(katikati) na
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Othman Affan Maalim, baada ya kumalizika
hafla ya kuzindua mashine za (Combine Harvester) leo katika shamba la
Kilimo la Serikali huko Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na wananchi na wakulima
wa Mpunga wa Maeneo mbali mbali baada ya kufanya uzinduzi rasmi wa
mashine za Kuvunia Mpunga (Combine Harvester) huko Shamba la Kilimo
la Serikali huko Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo