Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Rajabu Rutengwe baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kwa ziara ya jimbo Agosti 25,2012.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).