Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Diamond akiwaimbisha mashabiki na wapenzi wa muziki huo waliojitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta,kwenye uwanja wa Sokoine,mkoani Mbeya.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Linah akiimba kwa hisia jukwaani usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2012 kwenye uwanja wa Sokoine,Mkoani Mbeya.
Wasanii wa Filamu hapa nchini Aunt Ezekiel,Wema pamoja na Shilole wakiwasikiliza mashabiki wao wanataka nini.
Msanii wa bongofleva kutoka THT,Barnaba akiwaimbisha mashabiki wake usiku huu kwenye tamasha la serengeti fiesta 2012 ndani ya uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya
Msanii wa bongofleva anaetikisa kwa nyimbo kadhaa ikiwemo,Mama halima,Aifora na nyinginezo akiwaimbisha mashabiki wake kama waonekanavyo pichani usiku huu.
                                  Linah akicheza jukwaani na shabiki wake