Mwanafunzi kutoka Chuo cha Oxford Uingereza Anna Maria Kotarba, akichagua mabaki
ya mawe na magae ya vyungu vya zamani walivyokusanya katika maeneo ya Pango la
Kuumbi Jambiani na Mji wa Kale wa Unguja Ukuu Zanzibar, wakifanya utafiti
kupitia Mradi wa Sealinks,(Univesity of Oxford Uk SealinksProject)kufanya
utafiti wa mabaki ya vitu vya Zamani katika maeneo ya historia Zanzibar, akiwa
katika eneo la Makumbusho ya Taifa Jumba la Kumbukumbu Forodhani.

0 Comments